MADEBE LIDAI KACHAFULIWA TENA
Baada ya vilio vya makamasi na kudhalilishana mitandaoni huku kila mmoja akiapa kutokumrudia mwenzake hata kama wangebaki wawili pekee duniani. Hatimae Chanuo na mwenzie Madebe wamerudiana na kuwachamba Wabongo waache kuingilia mambo ya watu.



Comments
Post a Comment