HARMONEZ BADA YA KUKEMEWA


Harmonize baada ya kukemewa sana mitandaoni amekuja na wimbo mpya 'Mwanamke ni mtu na nusu'.


Hii nikama njia mojawapo ya kuwaonyesha wakubwa wa dini ilikuwa kama nia ya kumtia mwanamke nguvu.


Harmonize aliitumia post hile kama njia ya kutafuta kiki kabla ya kuachia new brand song #nanusu.


MSIKIEMWAMBA HAPA


Comments

Popular Posts