Msanii MbossoKhan amempa maua yake Muigizaji "IreneUwoya" huku akidai kuwa ni mmoja ya Wanawake ambao ni wazuri sana...
Akipiga story na #FreshWeekend Mbosso anasema "IreneUwoya ni mmoja ya Wanawake wazuri sana hapa Tanzania".......Tizama video kwenye link hapo chini 👇
TIZAMAA HAPA
Comments
Post a Comment